Monday, June 28, 2010

haya malori ya jeshi yalikuwa yanapelekwa nje ya nchi na KAMPUNI KUBWA KABISA ya intraspeed

Tuesday, June 22, 2010

tume clear magari ya kwenda rwanda


toyota hilux zote zikiwa ziko tayari kuelekea Rwanda chini ya kampu ni ya mikidadi's motor vehicle baada ya kampuni ya INTRASPEED ku clear kutoka bandari ya Dar es salaam

Thursday, June 10, 2010


jamaa wako makini kweli

mawakala wakisikiliza kwa makini

semina ikiendelea

meneja msaidizi wa inland container depots Bwana Robert Manyama akitoa mada

watu walijaa na walikuwa makini sana