Monday, June 28, 2010
Tuesday, June 22, 2010
tume clear magari ya kwenda rwanda
Wednesday, June 9, 2010
mkutano wa mawakala intraspeed yashiriki

Naibu kamishna wa idaya ya ushuru na forodha Bi. Genorose Bateyunga akitoa mada katika semina elekezi ya mawakala ya bidhaa katika ukumbi wa karimjee Dar Es Salaam mengi yalijadiliwa ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa upakuwaji wa bidhaa bandarini na uwanja wa ili ndege kupunguza kero ya urasimu na shida zingine kama gharama za ushuru zisizo linganifu n.k ambayo TRA imeahidi kufanyia kazi
Subscribe to:
Comments (Atom)







